4.5
301 cr铆ticas
11.53 MB
Everyone
Calificaci贸n de contenido
53K
Descargas
Simulizi Tamu za Mapenzi - na  captura de pantalla 1 Simulizi Tamu za Mapenzi - na  captura de pantalla 2 Simulizi Tamu za Mapenzi - na  captura de pantalla 3 Simulizi Tamu za Mapenzi - na  captura de pantalla 4 Simulizi Tamu za Mapenzi - na  captura de pantalla 5

Calificaci贸n y revisi贸n

4.5
301 calificaciones
5
4
3
2
1

Simulizi Tamu za Mapenzi - na descripci贸n

Kupitia App hii ya Simulizi Tamu za MApenzi utapata kusoma simulizi Tamu, chombezo, visa na mikasa, riwaya nzuri na za kusisimua zilizoandikwa na waandishi mbalimbali waliobobea kwenye uandishi wa simuliz na Hadithi tamu za Mapenzi kila siku.
Simulizi Tamu za Mapenzi kwa njia ya sauti zinazosimuliwa na waandishi wenye uzoefu kwenye kusimulia hadithi na simulizi mbalimbali.
Soma mikasa na visa mbalimbali vilivyotungwa na waandishi waliobobea .

馃憠馃徏Utundu na Utamu wote wa chumbani.
馃憠馃徏Siri zote za Mapenzi.
馃憠馃徏Darasa la Mapenzi.
馃憠馃徏Simulizi nzuri za Mapenzi.
馃憠馃徏Ushauri kuhusu Mahusiano na Mapenzi.
馃憠馃徏Ujumbe mzuri wa Mapenzi.
馃憠馃徏Mapenzi Mubashara.
馃憠馃徏Utajifunza namna Ya Kulinda Penzi.
馃憠馃徏Sms za mapenzi.
馃憠馃徏Mikasa ya mapenzi na Simulizi.
馃憠馃徏Udaku Video
馃憠馃徏Utamu Chumbani Wakubwa Tu
馃憠馃徏Jinsi Ya Kutongoza Mwanamke
馃憠馃徏Afya
Kupitia App ya simulizi za Mapenzi pia utapata fursa ya kusoma visa mbalimbali kutoka kwa watu mbalimbali wakihitaji ushauri kwenye Mambo yanayowatatiza kila siku kwenye Maisha
Jisomee simulizi mbalimbali za kusisimua zilizotungwa na mwalimu joshua, simulizi za maisha, mapenzi nk.... Ni simulizi zinazogusa maisha halisi usiache kupakua app hii hutojutia
Sasa Unaweza Kusoma na Kujifunza mambo mbalimbali Kupitia App hii ya Tuna vipengele vingi Uvipendavyo kama ifuatavyo


>> CHOMBEZO
Hapa Utaweza kusoma Hadithi, LoveStory, Na nyingine nyingi za watunzi mbalimbali hapa nchini,...


>> KUHUSU NDOA
Hapa Utaweza kujifunza namna ya kuishi na Mume / Mke au Mahusiano,
>> MIKASA
Hapa Utaweza kujifunza yale yaliowakuta watu katika maisha au mahusiano yao,
Sasa unaweza kusikiliza simulizi nzuri kutoka kwa watunzi mbali mbali unaowapenda wakati wowote, mahali popote kupitia simu yako ya mkononi

Simulizi hizi zinafaa kwa kujifunza mambo mengi kuhusu mapenzi, visa na mikasa mbalimbali ya maisha pamoja na simulizi za kidini kutukumbusha na kutufundisha mambo mbalimbali kuhusu maisha yetu ya sasa na ya baadae.

Application hii ina mambo yafuatayo:-
1. Inafunguka kwa haraka sana
2. Unasoma ndani ya Application kila kitu bila kwenda kwenye blog au website
3. Kila siku tunaweka simulizi mpya na kuweka muendelezo wa zile zenye mwendelezo.
4. Unapofungua simulizi inahifadhiwa sehemu ambayo kwa baadae unaweza isoma hata bila Internet
5. Unapata ujumbe kila simulizi mpya inapowekwa.
6. Na mengine mengi utayapata ukipakua Application yetu.
Usipitwe na simulizi tamu na zenye maudhui ya kuelimisha lakini pia kuburudisha kuifanya siku yako iende vizuri.

Utamu Kitandani ni App maalumu kwa kujifunza masuala ya mapenzi ambapo utajua jinsi ya kuishi na mpenzi kwa furaha pia utapata kujua njia ya kumpata mrembo yoyote na njia za kumpata, pia kwa wanawake utajua jinsi ya kuwa na handsome yoyote. Pia katika App hii utapata simulizi zitakazo kusisimua na kukufundisha pia kukuburudisha hivyo install app hii ili ufurahie yote hayo katika app hii bora kabisa ya mapenzi na utamu kitandani na kupata ufundi chumbani.

馃憠Mapenzi
馃憠Kumpata mpenzi
馃憠Ufundi kitandani
馃憠Utamu Chumbani
馃憠Simulizi za mapenzi
馃憠Ushauri wa Mapenzi
Vyote hivyo vinapatikana katika App hii bora ya Utamu Kitandani

Disclaimer
This App obtains public RSS feeds from websites/blogs. We do not own any feed or the contents of the feed, therefore we are not responsible for the accuracy, compliance, copyright, legality, decency, or any other aspect of the contents of the derived feed. If you have any legal issues please contact the appropriate website owners.
Please note that logos, names and other data of the respective contents are owned by them and this app is just a way to access them easily
↓ Lee mas